Swnamu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere iliyozinduliwa leo makao makuu ya umoja wa Africa Adis Ababa 18.02.2024 ikiwa ni kutambua mchango wake katika Kusaidia uhuru wa nchi za Africa. Rais wa Jamuhuri ya muungano ya Tanzania DR Samia Suluhu Hassani akiwa ameshiriki pamoja na maraisi wa nchi zingine

image